Isaiah 55:3-4


3 aTegeni sikio mje kwangu,
nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi.
Nitafanya agano la milele nanyi,
pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi.

4 bTazama, nimemfanya kuwa shahidi wa mataifa,
kiongozi na jemadari wa mataifa.
Copyright information for SwhKC